Marehemu Charles Ofunuo hatimae aletwa Kwame nyumbani Naitiri. Alikuwa akifanya kazi ya kuendesha pikipiki Naitiri main Stage na pia alikuwa Chairman wa Boda Boda Naitiri Main Stage.

26/8/2020 JUMATANO
Mwili wake uliletwa sokoni Naitiri masaa ya saa Nane kisha kuelekezwa Kwake nyumbani. Amemuacha mjane na watoto wawili.
Mazishi
Mazishi yatafanyika tarehe 27/8/2030 kuambatana na kanuni zilizowekwa kulingana na maagizo ya kuzuia maambukizi ya Corona
Tunaitakia Familia afueni ya haraka na Mungu ailaze roho yake Mahala pema.
Buriani Charles Ofunuo