Home Local News Mtoto wa umri wa siku 2 aokolewa na polisi baada ya mamake...

Mtoto wa umri wa siku 2 aokolewa na polisi baada ya mamake kumtupa chooni Bungoma

721
0

Mtoto wa umri wa siku mbili anapokea matibabu katika hospitali ya Webuye baada ya kuokolewa na maafisa wa polisi kutoka kwa shimo la choo alikotupwa na mamake mzazi. Mama huyo Malin Khayanga  mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya St. Thomas Misihu alimtupa mwanawe chooni baada ya kujifungua mtoto msichana  japo aliwahadaa jamaa zake kuwa alikuwa amekula chakula chenye sumu kilichomsababishia maumivu ya tumbo.

Naye mamaye msichana huyo kwa jina Eunice Wambani anataja furaha yake baada ya mjukuwe kuokolewa

Previous articleThogoto Teachers Training College
Next articleMandera teachers slam TSC for ‘ignoring’ CBA
Blogger and news writer at Tambua Africa News.