Mtoto wa umri wa siku 2 aokolewa na polisi baada ya mamake kumtupa chooni Bungoma
|Mtoto wa umri wa siku mbili anapokea matibabu katika hospitali ya Webuye baada ya kuokolewa na maafisa wa polisi kutoka kwa shimo la choo alikotupwa na mamake mzazi. Mama huyo Malin Khayanga mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya St. Thomas Misihu alimtupa mwanawe chooni baada ya kujifungua mtoto msichana japo aliwahadaa jamaa zake kuwa alikuwa amekula chakula chenye sumu kilichomsababishia maumivu ya tumbo.
Naye mamaye msichana huyo kwa jina Eunice Wambani anataja furaha yake baada ya mjukuwe kuokolewa
- Digital Media Awards 2022 nominations, Full list of Nominees and Winners
- [PHOTOS] 6 Bloodthirsty Gang behind Nakuru Killings Arrested
- Sultana Citizen Tv: 30th June 2022 Full Episode part 1 and 2
- Ruto Chairs Health Forum At Catholic University in Nairobi County
- “President Uhuru Kenyatta, release Kenyans Imprisoned for Smoking Bhang.” Wajackoyah