Home Local News Alikiba presents (Official Music Video)-Offering very many reactions from their Fans

Alikiba presents (Official Music Video)-Offering very many reactions from their Fans

376
0

Youtube Reactions

Good work boys Rhumba is 🔥🔥🔥all the way from Vienna Austria

Kama Umerudia Kuangalia Hii Clip Plz Be Honest, Nipe Haki Yangu Ya Like Japo Sikuzote Hamunipi Mwanitenga Mwenzenu. Haifai Nipe Like Basi.

KAMA NAWEWE NI KINGS MUSIC KAMA MIMI GONGA LIKE MAANA SO KWA MAUAJI HAYA MAANA KUMBE INACHEZEKA DUH ALIKIBA FIMBOOOOO ANEEEEE NOUMA……… #AMEGAINFO

AbduKiba X Cheed X Killy X K-2GA – Rhumba

Yanii nimekopa bando kisahiki kichupa bando liliishia njiani nikasema usinitanie ww kwan Tsh ngap,,? Mmetisha sana King’s music yebabaaaa msisahau like zangu jaman

mbona nakosa cha kusema tokea kwenye audio nimekosa neno na uku kila nikiwaza chakusema nakosa ngoja nicheze rumba 🎧🎧

Previous articleMoji ShortBabaa x Daddy Owen
Next articleACHA NISEME – QUAN PIZZA FT LEX&DAD
Blogger and news writer at Tambua Africa News.