FlameG Myahudi – Msanii Kutoka Taita Taveta

Tambua Africa imekuwa mstari wa mbele kutambua na kukuza vipaji nchini Kenya. Baadhi ya wasanii wanaotia bidii katika ulingo wa uimbaji tumetambua FlameG Myahudi

FlameG Myahudi

Msani wa Sanaa FlameG Myahudi almaarufu “mtu_makin1” ….amedhihirisha wazi kuwa msani Bora kwenye ubora wake mkoa wa taita taveta, kupitia Nyimbo zake “1. STYLE YA KUBENG” “2. NOMA” alizo wachia mwaka huu zinazo zidi kufanya vizurii mkoani humo.

AHADI

FlameG Myahudi ameahidi kufanya makubwa zaidi kwenye mkoa wake. Na kuitambulisha vizuri taita taveta 006 kwa jamii nzima ya Kenya. “Mwaka huu kwa ushirikiano na wasani wenzangu @JQ BENAY anae tamba kwa Nyimbo yake “siwezi” na ROCKILLERS AFRICA tumeamua kuungana ilikuitambulisha zaidi mkoa wetu wa taita taveta tumeona Peter blessing anavyo iwakilisha na kuipambania nafasi yake .

FlameG Myahudi

ushirikiano

ALSO READ  CMB Prezzo hospitalised after being gang-raped? He speaks out

Kwa ushirikiano wetu tumekuja kama backup ili kuitetea nafasi yetu kwa jamii nzima wapate kututambua na kupata kazi zetu tunazo zifanya kwa ubunifu wa hali ya juu.

WITO

Ningependa kutoa uwito kwa vyombo vya habari angalau waangazie mikoa ya pwani pia kuna wasani wenye uwezo mkubwa, ambao wakipata nafasi watafanya maajabu Sana, naamini kwa nguvu ya umma. NA MWAKA HUU LAZIMA 006 ITAMBULIKE #Hainakufeli.”

ALISEMA
FlameG Myahudi

Alisema katika mahojiano na Tambua Africa mapema mwaka huu … FlameG Myahudi ametoa uwito kwa jamii na vyombo vya habari kutoa ushirikiano kwa wasani wa 006 taita taveta county kwa kupitia na kusupport kazi zao … “Watu wasubscribe kwa YouTube channel yangu na wanifollow kwenye social media handle zangu @FlameG Myahudi … Kazi zitakuwa zikidondoka”….ameweka wazi.

ALSO READ  CITIZEN TV SCHEDULE

FACEBOOK – FlameG Myahudi

TWITTER – FlameG Myahudi

YOUTUBE – FlameG Myahudi

African News

Phone : 0713606650 HASHTAG: #TambuaAfrica

LEAVE YOUR COMMENT HERE

OPEN CHART
1
Get some help here!!!!!!!!
Hellooo we promote all upcoming artists. Can we help popularize your art? Share your YOUTUBE VIDEO TODAY.... Lets chart HERE