Uchaguzi mdogo eneo la Kibra kufanyika tarehe 7 mwezi November

Uchaguzi mdogo eneo bunge la Kibra utafanyika tarehe 7 mwezi Novemba. Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imetangaza tarehe hiyo na kutoa nafasi ya kuanza kwa mchakato wa kusaka kiti hicho kilichoachwa wazi kufuatia kifo cha Ken okoth.

IEBC imetoa tangazo hilo baada ya spika wa bunge la taifa Justine Muturi kutangaza kiti hicho kuwa wazi kwa mujibu wa sheria.

ALSO READ  POLICE COMPLAIN: Wacheni Kunidhulumu eti kwa sababu bwanangu ni Muluyha

Tayari wagombea kadhaa wametangaza nia ya kupigania kiti hicho.

OPEN CHART
1
Get some help here!!!!!!!!
Hellooo we promote all upcoming artists. Can we help popularize your art? Share your YOUTUBE VIDEO TODAY.... Lets chart HERE
Powered by